Taasisi ya Safe Haven imepata nafasi ya kukutana na Mhe. Anjellah Kairuki, Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Kukutana na Waziri wa TAMISEMI ni jambo muhimu na lenye manufaa kwetu kama Tasisi.
Tunamshukuru sana Mhe. Anjellah Kairuki kwa ushikiano na mchango wake katika kutuongezea nguvu na kutusaidia ili kufanya zaidi kwa watoto hasa wa kike walio shuleni ili tupate wasomi wa kike wengi zaidi ili waje kunufaisha taifa letu.