Safe Haven Foundation

 +255 765 080 874

$0 of $4,500 raised
$
Personal Info

Make donation toward our causes, though the following Bank details:

NAME: SAFE HAVEN FOUNDATION
TANZANIAN SHILLINGS (TZS) ACCOUNT NUMBER: 3004211859596
USD ACCOUNT NUMBER: 3004211859597
BANK NAME: EQUITY BANK TANZANIA LIMITED
BRANCH: GOLDEN JUBILEE BRANCH
BRANCH CODE: 3004
SWIFT CODE: EQBLTZTZ

Mail your to: info@safehavenfoundation.or.tz

Your tax-deductible donation is greatly appreciated!

Donation Total: $100.00

CategoriesEvent

Mjadala wa Kijana Jasiri

Safe Haven Foundation yafanya mjadala maalum kwa vijana siku ya Jumapili, 21 Julai 2024 kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 7:00 mchana. Mjadala huu maalum wa Kijana Jasiri ulidhaminiwa na Benki ya CRDB na ulihidhuriwa na vijana 50 kutoka sehemu mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Mjadala ulifanyika katika Shule Ya Sekondari Makumbusho. Na tunapenda kutoa […]

CategoriesNews

Congratulations Dr. Khadijah Mohammed

We are proud to announce that Dr. Khadijah Mohammed has been Selected to participate in the 2024 Mandela Washington Fellowship for Young African Leaders in the United States. She’s going to attend University of Minnesota under Leadership in Public Management. Dr. Khadijah Mohammed is The Founder of Safe Haven Foundation—a highly self-motivated, SRH advocate. She […]

CategoriesEvent

Safe Haven Foundation Yagawa Maboksi 100 ya Pedi (Sawa na Pedi 24,000) Kwenda Ofisi Binafsi ya Waziri ya Afya kwa ajili ya Watoto wa Kike Wanaoishi Katika Mazingira Magumu

Katika kuhakikisha tunawafikia watoto wanaoishi katika mazingira magumu, tulichangia jumla ya boksi 100 za taulo za kike na kuzikabidhi Ofisi Binafsi ya Waziri ya Afya kwa ajili ya kugawiwa kwa watoto wa kike wanaoishi kwenye mazingira magumu. Kupitia ofisi binafsi ya Mheshimiwa Naibu Waziri wa Afya ilikiri kupokea maboksi 100 ya taulo za kike na […]

CategoriesEvent

Safe Haven Foundation Yakabidhi Taulo za Kike 2,400 kwa Wanafunzi wa Kike wa Shule ya Msingi Msimbazi Mseto

Katika kufungua mwezi wa Hedhi Salama ambao ni Mwezi Mei, Safe Haven Foundation tumetembelea Shule ya Msingi Msimbazi Mseto iliyopo katika Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuonana na watoto wakike na kuwaelemisha juu ya Hedhi Salama. Sambamba na hili tumefanikiwa kukakabidhi Taulo za Kike (pedi) 2,400 kwa wanafunzi hao. Tunashukuru […]

CategoriesEvent

Safe Haven Foundation, Samatta Foundation na Uratibu wa Maendeleo ya Uturuki (TiKA) Tanzania Yaadhimisha Miaka 100 ya Jamuhuri ya Uturuki

Safe Haven Foundation na Samatta Foundation tumeshirikiana na Taasisi ya Ushirikiano na Uratibu wa Maendeleo ya Uturuki (TiKA) Tanzania katika kuadhimisha Miaka 100 ya Jamuhuri ya Uturuki kwa kuzindua ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu wa kisasa katika Shule ya Msingi Msimbazi Mseto. Tunamshukuru Mheshiwa Mkurugenzi wa Halmashauri wa Jiji la Dar es Salaam, […]

CategoriesEvent

Taasisi ya Safe Haven Yakutana na Mhe. Anjellah Kairuki, Waziri wa TAMISEMI

Taasisi ya Safe Haven imepata nafasi ya kukutana na Mhe. Anjellah Kairuki, Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Kukutana na Waziri wa TAMISEMI ni jambo muhimu na lenye manufaa kwetu kama Tasisi.  Tunamshukuru sana Mhe. Anjellah Kairuki kwa ushikiano na mchango wake katika kutuongezea nguvu na kutusaidia ili […]

CategoriesEvent

A Visit to the Embassy of the People’s Republic of China in Dar es Salaam, Tanzania

Safe Haven Foundation had a meeting with H.E Ambassador Chen Mingjian, Ambassador of the People’s Republic of China in the United Republic of Tanzania. We discussed several issues relating to health and youths, on how we can collaborate with the Embassy of People’s Republic of China in Dar es Salaam, Tanzania. We are grateful for […]

CategoriesEvent

Medical Stores Department (MSD) Donated Drugs Worth Tsh. 1,265,465 to Safe Haven Foundation for Antonia Verna Rehabilitation Centre

On Tuesday, July 4th, 2023, The Non-Governmental Organization of Save Haven Foundation with registration number 00/NGO/R/2963, wrote a letter to the Director General of the Medical Stores Department (MSD) to seek medicines help to the Antonia Verna Community Based Rehabilitation Centre to help 254 children with disabilities related to Autism, Spinal Cord, Cerebral Palsy, Asthma, […]

CategoriesEvent

Bohari ya Dawa Tanzania yachangia Dawa Zenye Thamani ya Tsh. 1,265,465 kwa Taasisi ya Safe Haven kwa ajili ya Kituo cha Huduma ya Utengamao cha Antonia Verna

Mnamo siku ya Jumanne, 4 Julai, 2023 Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Save Haven yenye usajili namba 00/NGO/R/2963, iliandika barua kwenda kwa Mkurugenzi Mkuu Bohari ya Dawa (MSD) yenye dhumuni la kuomba msaada wa dawa zinazohitajika katika kituo cha Antonia Verna Community Based Rehabilitation kuwasaidia watoto wenye ulemavu 254, wenye matatizo yanayohusiana na Uti wa […]