Mjadala wa Kijana Jasiri
Safe Haven Foundation yafanya mjadala maalum kwa vijana siku ya Jumapili, 21 Julai 2024 kuanzia saa 4:00 asubuhi hadi saa 7:00 mchana. Mjadala huu maalum wa Kijana Jasiri ulidhaminiwa na Benki ya CRDB na ulihidhuriwa na vijana 50 kutoka sehemu mbalimbali Jijini Dar es Salaam. Mjadala ulifanyika katika Shule Ya Sekondari Makumbusho. Na tunapenda kutoa […]